Jichanganye Kibongo-The Urban Story

Marafiki.Mavazi.Mijadala.Mapicha.Video.Makundi Na Maujanja Toka Kitaa.Online Tv

Maisha Ya Mtaa (32)

Mijadala Hoja/Majibu Yaliyojiri Punde
akam babako

LIFE

Uchafu kitaani umezidi!..... -Watanzania tufaneje kuondokana na hadha hii... -mauaji ya walemavu wa ngozi yatakwisha lini?

Imeanzishwa na akam babako

1 Nov 8
Hoja imetolewa na Jichanganye Team
Jichanganye Team

Define Uswazi-Unaelewa nini kuhusu neno uswazi?

sisi wa2 tunaowakilisha mitaa ya kibongo mtandaoni tungependa kusikia wewe kama mbongo uliye mbali na sisi unasemaje au unajua nini kuhus...

Imeanzishwa na Jichanganye Team

2 Oct 6
Hoja imetolewa na Jichanganye Team
Jichanganye Team

Demu Wa Ukweli

Hivi demu wa ukweli inatakiwa aweje?toka moyoni kwako we unasemaje.......

Imeanzishwa na Jichanganye Team

2 Sep 1
Hoja imetolewa na jacob
Samwel-Kimolah Masakilija

..ma-Candidates vyuoni mnazingua..

..hii imenikera na nadhani hata wadau wengine nanyi inawakera, wanavyuo wengi hapa bongo mnapenda ku "copy" na ku "paste" lifestile la mb...

Imeanzishwa na Samwel-Kimolah Masakilija

2 Aug 14
Hoja imetolewa na Jichanganye Team
Jichanganye Team

Pants Hanging Low-Kata Kay

whachu no bout it!!!inaanza boxwe kisha pensi then any other out fit,we unasemaje kuhusu hii styl

Imeanzishwa na Jichanganye Team

0 Jul 13
Jichanganye Team

Street Wear-Pamba Za Kitaani

kama wewe ni mfuatiliaji wa mitindo ya mavazi hasa kitaani utagundua kama siku hizi wabongo tumeamka,wajanja wote wa kitaa utaona wamevaa...

Imeanzishwa na Jichanganye Team

0 Jul 13
Jichanganye Team

Africa Unite Still The Dream-Vipi Kwa Upande wako?

kuna hii fikra ya ukweli kuliko zote kwamba Afrika ipo siku itaungana na kuwa ki2 kimoja?wewe unaweza kuzungumziaje suala hili?

Imeanzishwa na Jichanganye Team

0 Jul 13
rastouhlizzo

KWANINI KURECORD VIDEO NI BEI IKO JUU KULIKO AUDIO AMBAO NI CHANZO CHA VIDEO?KWANI BILA AUDIO HAKUNA VIDEO.

ni vipi maproducer wa video wana record kwa gharama ya juu sana wakati wao wanategemea kutoka kazi kwa maproducer wa audio,kwanini gharam...

Imeanzishwa na rastouhlizzo

1 Jun 24
Hoja imetolewa na mujydebubyz
Attitude Scorpio

GamE Ya BONgo Na A.k.A zA KiWanJA!

Umewahi kujiuliza kwanini wasanii wa kibongo wanapenda kujibatiza majina ya wasanii walio kiwanja..(Marekani)? Angalia majina kama P Funk...

Imeanzishwa na Attitude Scorpio

1 Jun 24
Hoja imetolewa na mujydebubyz
denis richard

kwaanini mziki bongo freva haudumu kwenye media ??

kwanini mziki wa bongo freva haudumu kwenye medie

Imeanzishwa na denis richard

1 Jun 24
Hoja imetolewa na mujydebubyz

RSS

About

Live Jichanganye Styl,The Styl Of The Realest & Illest ,Established 2002.by The LKM02 HOUZE,We Love Tanzania Our Lovely Land.

Yaliyojiri Punde

nennet and Hija are now friends
Masaa 5 yaliyopita
Hurumah Haule amejiunga na Jichanganye Kibongo-The Urban Story.
on Thursday
Moses denis amejiunga na Jichanganye Kibongo-The Urban Story.
Novemba17
Novemba17
akam babako ameweka picha moja:
Novemba12
stone niambie mwana kudalili ya mimi kuwa mwanamziziki? i jus perfomed bella9's song mbele ya around 300 students....it was really sick mpaka mistari nilikuwa nasahau... nipe maoni yako
Novemba10
kas ameweka video:
Sumuya Mapenzi (Poison of Love) Song performed in "Swinburne Cultural Night 2009", an event organized by Swinbune University of Technology (Sarawak... maisha ya school huku MY
Novemba10
mistari noma.....real hiphop...big up
Novemba10

© 2009   Created by Jichanganye Team on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service