Bongo4ever [ B4E ]

Chat.Marafiki.Blogs.Muziki.Videos.and Fun [Yaani wewe Tu!]

swala zima la ugumu wamaisha liko wazi duniani kote lakini midomoni kwa waTZ wenzeetu liko tofaut sana kutokana na wanavyolia kupita kiasi utadhani hakuna nchi zenye shida na njaa kuliko wao...tujaribu kuangalia kuna nchi za wenzetu wanapigana vita kila kukicha hawana mashamba siyo wa kwenda makazini wala kufanya lolote lile lakini kilio chao si kama cha MTZ...mnaweza kuliangalia kwa jicho lipi ndugu zanguni........??????

Shea na Wengine

Ijibu Hii

Bongo4Ever-Mapenzi Kwa Nchi Ye2 Hayataishia Leo Tu,Hii Ni Forever.Alika Wabongo Unaowajua.

Yaliyojiri Punde

Masaa 18 yaliyopita
Masaa 18 yaliyopita
felister oswardy and Thomas Cassy are now friends
yesterday
Thomas Cassy added a discussion to the group RafikiChat
yo whats up aany one out there
yesterday

Makundi

© 2009   Created by B4E on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!