Bongo4ever [ B4E ]

Chat.Marafiki.Blogs.Muziki.Videos.and Fun [Yaani wewe Tu!]

Hivi demu wa ukweli inatakiwa aweje?toka moyoni kwako we unasemaje.......

Shea na Wengine

Ijibu Hii

Hoja za Mjadala Huu

demu wa ukweli ni yule ambaye kwanza awali ya yote ni msafi, msikivu, anayekubali kukosolewa na anayemjali man wake, bila ya kumvizia vizia ( maana yake kuona kila mwanaume ni nyang'au) yaani aamini yeye alivyo ndio mwanaume wake alivyo pia.

na akumbuke kuwa mwanamme ni mtoto kwa mwanamke, ingawa mwanaume ni kichwa ndani ya mapenzi

Ijibu Hii

demu wa ukweli kwangu ni yule mwenye ma true lav, ya ukweli, huyo ndo mm namkubali. poa jamani jioni njema................

Ijibu Hii

RSS

Bongo4Ever-Mapenzi Kwa Nchi Ye2 Hayataishia Leo Tu,Hii Ni Forever.Alika Wabongo Unaowajua.

Yaliyojiri Punde

Masaa 21 yaliyopita
Masaa 21 yaliyopita
felister oswardy and Thomas Cassy are now friends
yesterday
Thomas Cassy added a discussion to the group RafikiChat
yo whats up aany one out there
yesterday

Makundi

© 2009   Created by B4E on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!