Jichanganye Kibongo-Ending The Decade

We all Tanzanians.Despite Locations.Lets Get 2gether

Umewahi kujiuliza kwanini wasanii wa kibongo wanapenda kujibatiza majina ya wasanii walio kiwanja..(Marekani)? Angalia majina kama P Funk, Saigon, halafu aliyeharibu zaidi ni Chid Benz kuanzia La familia, Hiyo Benz yenyewe ameifanyia Clipping toka Benzino, King Kong, Na sasa ivi The big boss. Hao ni wachache tu, sasa jiulize ghafla leo hawa jamaa mmoja wao anapata show kiwanja si unajua saivi kupiga show kiwanja si kitu cha kushangaza tena, sasa duuh! hawa jamaa watatengeneza picha ipi ya muziki wa kibongo huko watakapokuwa..? au ndo zile za Bitoz Nyangema anataka aitwe Tupac..? Kama hiyo haitoshi siku hizi wamekuja na staili ya kuchana na biti za mbele mbaya zaidi hawaangalii hata show za kufanya hivyo, kwa mfano AY kwenye show ya The Climax waliyodondoka Fat Joe na Eve alitumia biti ya Big Pimpin ya Hov kudondoka twista zake mbele ya hawa jamaa, unajua tafsiri yake ni nn? Bongo hakuna Maproducer Ndo kitu cha karibu ambacho jamaa walifiria nadhani, sasa kwa staili hii Kuna Next level kweli? Au mi ndo mtoto pori..?

Shea na Wengine

Ijibu Hii

Hoja za Mjadala Huu

ukitegemea lugha ya mwingine wewe ni mtumwa wa kila jambo. tunasema kiswahili hakina maneno wakati tunakidharau, hivyo basi tutabaki am am kuvaa viatu vya marekani, kuongea kimarekani, kuvaa nguo za UK basi kila dakika tutaona waingereza ndio wenyewe duniani. hayo ni machache hivyo kwa kuwa tumekuwa watumwa wa lugha basi hata majina tunachukua ya kwao.

Ijibu Hii

RSS

About

Live Jichanganye Styl,The Styl Of The Realest & Illest ,Established 2002.by The LKM02 HOUZE,We Love Tanzania Our Lovely Land.

Yaliyojiri Punde

Jichanganye Team added a blog post
\ Stone The Jichanganye Styl Web master got hooked for collabo..just watch and comment watch it @EATV.Channel 10 & Channel 0..They are just taking bongo to next level,klex belongs to Klexx Music just visit nipehabari 4 more..
on Thursday
charles mgina oya sana tu wana once again mkasha is comin back to tz.....next week see u guys au sio stone, jazz , square , big and cmoney kaaeni tayari
on Tuesday
charles mgina ameweka nyimbo 2.
on Tuesday
nennet and Hija are now friends
on Monday
Hurumah Haule amejiunga na Jichanganye Kibongo-Ending The Decade.
Novemba26
Moses denis amejiunga na Jichanganye Kibongo-Ending The Decade.
Novemba17
Novemba17
akam babako ameweka picha moja:
Novemba12

© 2009   Created by Jichanganye Team on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service