Bongo4ever [ B4E ]

Chat.Marafiki.Blogs.Muziki.Videos.and Fun [Yaani wewe Tu!]

je Visual Lab na Kallage's Picture unazichukuliaje?vipi kiushindani?ungependa video za kibongo ziongezwe nini?ua zinatofaitiana nini na za nje ya bongo hasa Kenya & uganda,

Shea na Wengine

Mafaili Yalioambatanishwa (Attachments):

Ijibu Hii

Hoja za Mjadala Huu

visual lab iko juu kuliko kalaghe ingawa kalaghe anamkimbiza ila bado hajamfikia,video zao ziko quality ya juu hasa ya visual lab iko level za kimataifa.nachoshaur kwenye video za kibongo wajaribu kua wabunifu ili zionekane na muonekano wa kibongo kama south wanavyoonekana,kwa afrika mashariki,video za kibongo ziko sawa na uganda na kenya.mkazuzu wanaaa!!!

Ijibu Hii

RSS

Bongo4Ever-Mapenzi Kwa Nchi Ye2 Hayataishia Leo Tu,Hii Ni Forever.Alika Wabongo Unaowajua.

Yaliyojiri Punde

Masaa 20 yaliyopita
Masaa 20 yaliyopita
felister oswardy and Thomas Cassy are now friends
yesterday
Thomas Cassy added a discussion to the group RafikiChat
yo whats up aany one out there
yesterday

Makundi

© 2009   Created by B4E on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!