Jichanganye Kibongo-The Urban Story

Marafiki.Mavazi.Mijadala.Mapicha.Video.Makundi Na Maujanja Toka Kitaa.Online Tv

..hii imenikera na nadhani hata wadau wengine nanyi inawakera, wanavyuo wengi hapa bongo mnapenda ku "copy" na ku "paste" lifestile la mbelefele huku mkijua wazi vividly, hali halisi mliyoiacha majumbani kwenu... labda wadau naomba mnisaidie hapa, kwa nini hasa,kina dada wengi hupitiwa na ulimbukeni huu....( hata wagwandu(boys/masculine gender) tumo, ila sio kivile kama wao machic)??!

Shea na Wengine

Ijibu Hii

Hoja za Mjadala Huu

HILI SWALA CO CHUO TU M2 WANGU N Mambo ya utandawaZ yanii ile kuishi kmbelele ila co ishu kwani kuishi hivyo unamtukana m2?af mi nkicheki cku hizzi maisha ya kitanzania ndo yapiiiiiiiiiiiiiiii nadhani hlo ndo swali am out

Ijibu Hii

kuishi kama mbele kunadatisha ma sista zetu sana,cheki vyuo vyote DSM pata Picha Ya wasomi .PIGA PICHA YA USHINDANI WA KIMATAIFA NA USOMI WA KIBONGO! inabidi tuumize vichwa siyo tuuze sura!!!

Ijibu Hii

RSS

About

Jichanganye Team Jichanganye Team created this social network on Ning.

Create your own social network!

Live Jichanganye Styl,The Styl Of The Realest & Illest ,Established 2002.by The LKM02 HOUZE,We Love Tanzania Our Lovely Land.

Yaliyojiri Punde

akam babako ameweka picha moja:
on Thursday
stone niambie mwana kudalili ya mimi kuwa mwanamziziki? i jus perfomed bella9's song mbele ya around 300 students....it was really sick mpaka mistari nilikuwa nasahau... nipe maoni yako
on Tuesday
kas ameweka video:
Sumuya Mapenzi (Poison of Love) Song performed in "Swinburne Cultural Night 2009", an event organized by Swinbune University of Technology (Sarawak... maisha ya school huku MY
on Tuesday
mistari noma.....real hiphop...big up
on Tuesday
inabidi wabongo tukubali mabadiliko
Novemba8
kizito eliasi added 9 photos to the album 'kiz photos'
Novemba5
no..!she is not
Novemba5
she is now in harare bra....
Novemba5

© 2009   Created by Jichanganye Team on Ning.   Create Your Own Social Network

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service