Bongo4ever [ B4E ]

Chat.Marafiki.Blogs.Muziki.Videos.and Fun [Yaani wewe Tu!]

..hii imenikera na nadhani hata wadau wengine nanyi inawakera, wanavyuo wengi hapa bongo mnapenda ku "copy" na ku "paste" lifestile la mbelefele huku mkijua wazi vividly, hali halisi mliyoiacha majumbani kwenu... labda wadau naomba mnisaidie hapa, kwa nini hasa,kina dada wengi hupitiwa na ulimbukeni huu....( hata wagwandu(boys/masculine gender) tumo, ila sio kivile kama wao machic)??!

Shea na Wengine

Ijibu Hii

Hoja za Mjadala Huu

HILI SWALA CO CHUO TU M2 WANGU N Mambo ya utandawaZ yanii ile kuishi kmbelele ila co ishu kwani kuishi hivyo unamtukana m2?af mi nkicheki cku hizzi maisha ya kitanzania ndo yapiiiiiiiiiiiiiiii nadhani hlo ndo swali am out

Ijibu Hii

kuishi kama mbele kunadatisha ma sista zetu sana,cheki vyuo vyote DSM pata Picha Ya wasomi .PIGA PICHA YA USHINDANI WA KIMATAIFA NA USOMI WA KIBONGO! inabidi tuumize vichwa siyo tuuze sura!!!

Ijibu Hii

RSS

Bongo4Ever-Mapenzi Kwa Nchi Ye2 Hayataishia Leo Tu,Hii Ni Forever.Alika Wabongo Unaowajua.

Yaliyojiri Punde

Masaa 23 yaliyopita
Masaa 23 yaliyopita
felister oswardy and Thomas Cassy are now friends
yesterday
Thomas Cassy added a discussion to the group RafikiChat
yo whats up aany one out there
yesterday

Makundi

© 2009   Created by B4E on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!