Bongo4ever [ B4E ]

Chat.Marafiki.Blogs.Muziki.Videos.and Fun [Yaani wewe Tu!]

1.mswahil ni mchawi?
2.mswahili ni m2 anayeongea kibantu?
3.mswahili ni m2 mshamba (asiyejua lolote)?
4.mswahili ni m2 anayehishi kwenye mazingira machafu (a.k.a uswazi)
5.mswahili ni mlevi,kicheche(malaya),mmbea,mdaku n.k?
6.mswahili ni m2 asiye na elimu?

Shea na Wengine

Ijibu Hii

Hoja za Mjadala Huu

Mswahili ni ww mwenyewe unayeendekeza mambo ya kiswahili sehemu unayoishi.

Ijibu Hii

ukishakuwa msema ovyo unaejifanya kujua kila kitu wewe lazma utaitwa mswahili tu penda usipende....kifupi mjuaji msema ovyo huyo ni mswahili

Ijibu Hii

mswahili kibongo bongo ni m2 mnafki..ila kwa maana halisi ni m2 anayezumgumza kiswahili..sijui wenzangu wanasemaje

Ijibu Hii

Haha! Swali Zuri..
Mswahili kama mswahili ni m2 ambaye Motherlanguage yake ni kiswahili.
But stil kuna watu wanatumia kiswahili vingine.
Kama Reen na Kizito alivyosema

Ijibu Hii

RSS

Bongo4Ever-Mapenzi Kwa Nchi Ye2 Hayataishia Leo Tu,Hii Ni Forever.Alika Wabongo Unaowajua.

Yaliyojiri Punde

Masaa 19 yaliyopita
Masaa 19 yaliyopita
felister oswardy and Thomas Cassy are now friends
yesterday
Thomas Cassy added a discussion to the group RafikiChat
yo whats up aany one out there
yesterday

Makundi

© 2009   Created by B4E on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!