Chat.Marafiki.Blogs.Muziki.Videos.and Fun [Yaani wewe Tu!]
..hii imenikera na nadhani hata wadau wengine nanyi inawakera, wanavyuo wengi hapa bongo mnapenda ku "copy" na ku "paste" lifestile la mbelefele huku mkijua wazi vividly, hali halisi mliyoiacha majumbani kwenu... labda wadau naomba mnisaidie hapa, kwa nini hasa,kina dada wengi hupitiwa na ulimbukeni huu....( hata wagwandu(boys/masculine gender) tumo, ila sio kivile kama wao machic)??!
© 2009 Created by B4E on Ning. Create a Ning Network!