Jichanganye Kibongo-Ending The Decade

We all Tanzanians.Despite Locations.Lets Get 2gether

LEXALINE
  • Mwanaume
  • R CHUGA
  • Tanzania (Bongo)
Shea na Wengine 

Marafiki wa LEXALINE

Mziki

Inaleta....

Makundi ya LEXALINE

 

lexaline aka de wider smoker

Yaliyojiri Punde

LEXALINE received a gift from Jichanganye Team
From the Gift Store
Oktoba22
Oktoba19
LEXALINE updated their profile
Oktoba10
LEXALINE updated their profile photo
Oktoba10
Julai30
Juni26
LEXALINE left a comment for Jacy
Juni23
Juni23

Wasifu Wako

Jinsia
kiume
Mahusiano
Sina M2 Na Kwa Sasa Sihitaji
Kazi/Cheo/Chuo/Fani
university
Zaidi Kuhusu mimi
NAJUA MWENYEWE AU VIPIMarijuana Comments For Hi5

Marijuana Hi5 Comments & Hi5 Graphics

Hi5

Vi2 Navyopenda Kufanya
KUSMOKE WEED,KUCHILI NA MACHIZI WANGU,KUCHEZA MPIRA,KUSIKILIZA MUSIC HIP HOP OLD SKUL.ETCMarijuana Comments For Hi5

Marijuana Hi5 Comments & Hi5 Graphics

Hi5

Muziki Mi Ninauchukuliaje?
NAPENDA SANA HIP HOP SANA SANA OLD SKUL
Nimeujuaje Huu Mtandao..
MCHIZI WANGU LKMO2 KANITEL
Neno 'Jichanganye(JK) Kibongo'-Kwako linamaanisha nini??
kujimix kuchangia mawazo au vipi

Blogu ya LEXALINE

LEXALINE

MLIMA KILIMANJARO WAZUA MZOZO

MLIMA Kilimanjaro umesababisha mzozo miongoni mwa Watanzania na Wakenya wanaoshiriki mafunzo ya utawala bora na mapambano dhidi ya rushwa, mjini Milwaukee.

Tukio hilo lilitokea juzi Septemba mwaka huu, wakati wakiwa darasani katika Chuo Kikuu cha Marquette, mjini hapa, chanzo kikiwa ni Dk. Thomas Bausch, raia wa Marekani, aliposema ni katika miaka ya karibuni amefahamu mlima huo uko Tanzania na si Kenya.

"Wamarekani wengi ndivyo wanavyojua, nilishangaa sana," alisema Dk. Bausch na kuongeza kuw… Endelea

Imetumwa Tar. Septemba 30, 2008 saa 12:50pm — Oni Moja1

Ukuta wa Maoni (Maoni 28)

Unahitaji kuwa mwanachama Jichanganye Kibongo-Ending The Decade uweze kuweka maoni.

Jiunge na Mtandao huu

At 4:30pm on Oktoba 22, 2009, Jichanganye Team gave LEXALINE a gift
kula 5 mwnajeshi wangu wiki hii naenda mkoa
From the Gift Store
Saa 1:09pm Tar. Oktoba 19, 2009, kizito eliasi amesema…
niambie m2 mzima...
Saa 10:03pm Tar. Juni 30, 2009, Dinah amesema…
Hiya!
Yeah mambo yalibana kimtindo, kazi nyingi.
Asante kwa ujumbe, kuwa na siku njema.
Saa 1:16pm Tar. Juni 26, 2009, kizito eliasi amesema…
nigan mkubwa...!!cjaadimika kivile kaka,vp mishe zinasongaje mtu mzima
Saa 1:33pm Tar. Aprili 29, 2009, kizito eliasi amesema…
haina kwere mkubwa vipi R chuga wanabongaje.....
Saa 8:40am Tar. Machi 11, 2009, Jacy amesema…
Haha! Yeah nakusoma kila konaazZ..
Afu ndo huonekani mazima..au ndo ushaingia undercova??
Micn yo kivile chalangu!
Much luuv!
Saa 6:52pm Tar. Machi 9, 2009, Jacy amesema…
Yeyo!
Uko pande zote!! Nomaaz!!
Much luuv chalangu!
Saa 4:49pm Tar. Machi 2, 2009, Jichanganye Team amesema…
sana 2 baaab.do it.kama vipi ni2mie tena zile song zako.ila ziwe mp3.huku haziplay nashindwa kuelewa ni kwa nini
Saa 1:28pm Tar. Machi 2, 2009, LKM02 amesema…
we doppin daily..niaje mkuuu ..kama kawa bado tuna shwanganisha kama kawaida,mpaka kieleweke ebeana eee,nahitaji masweta flani ya kusuka ya rasta color huko arusha yanapatikana sana..mikono mirefu na nmifupi ni bei gani huko nataka kuyannunua..kwa ajiri ya ku shoot video..much luv m2 wangu..kuanzia j5 nitakuwa na jazzy weeezy kuanza project upya
Saa 7:26pm Tar. Februari 15, 2009, Jazzy Weezy amesema…
NIAJE LEX. WEEZY HAPA. KAVP MKAZU MWINGI MI NAINGIA KITAA RASMI J5. HARAKATI ZTAZO FUATA ZTAKUA BAAB KUBWA.
 
 

Live Jichanganye Styl,The Styl Of The Realest & Illest ,Established 2002.by The LKM02 HOUZE,We Love Tanzania Our Lovely Land.

Yaliyojiri Punde

Dakika 1 iliyopita
Dakika 1 iliyopita
Dakika 1 iliyopita
Dakika 1 iliyopita
Dakika 1 iliyopita
Dakika 1 iliyopita
From the Gift Store
Dakika 2 zilizopita
Dakika 2 zilizopita
 

© 2009   Created by Jichanganye Team on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service