Bongo4ever [ B4E ]

Chat.Marafiki.Blogs.Muziki.Videos.and Fun [Yaani wewe Tu!]

Reen Minja
  • Mwanamke
  • Dar es salaam
  • Tanzania (Bongo)
Shea na Wengine 
  • Blogu Zilizowekwa
  • Makundi
  • Picha
  • Albamu za Picha
  • Video

Marafiki wa Reen Minja

 

Ukurasa wa Reen Minja

Gifts Received

Gift

Reen Minja has not received any gifts yet

Give Reen Minja a Gift

Yaliyojiri Punde

Desemba10
Machi2
Reen Minja is now friends with M.e. Wilfred and ralph
Februari13
Januari28

Wasifu Wako

Jinsia
kike
Mahusiano
Nipo Kwenye Mahusiano
Kazi/Cheo/Chuo/Fani
Kazi na Chuo kwa pamoja.
Zaidi Kuhusu mimi
Mpenda Amani,Nisiyependa majungu,Napenda ushauri kwa m2 yoyote.Sina ubaguzi Simpendi m2 anayefuatilia mambo ya watu wakati yakwake yanakushinda huwa nasemaga sio ishu.
Vi2 Navyopenda Kufanya
Napenda kuangalia tv,kucheck vi2 vinavyoendelea kwenye mtandao yaani ma blog,Bbc,Kuchat,kucheck mail,ma web haswa Jichanganye,Napenda sn kupika na Kusoma.Napenda kufanya kazi kwa bidii,Zaidi napenda sana kucheck blog yangu www.waukweli.blogspot.com.
Muziki Mi Ninauchukuliaje?
Me muziki nauchukulia km burudani ktk maisha,Unajua nn katika maisha ya mwanadamu kuna kufanya kazi thn m2 unakuwa unapumzika ss wakati ukiwa umepumzika ukisikiliza muziki sio mbaya mm huwa unanitoaga uchovu sana.Muziki nauchukulia km kazi,kazi za vijana wengi siku izi.
Nimeujuaje Huu Mtandao..
Mimi mwana Mtandao lazima niujue,Ukweli ni kwamba toka niujue huu mtandao kila siku lazima nicheck LKM02 ameweka nn kwenye Jichanganye.Inanivutia sana,na inanifundisha mambo mengi yanayoendelea duniani.
Neno 'Jichanganye(JK) Kibongo'-Kwako linamaanisha nini??
Ahaha!km ww mjanja lazima utajichanganya na wajanja wenzio ndio maana yangu.

Ukuta wa Maoni (Maoni 5)

Unahitaji kuwa mwanachama Bongo4ever [ B4E ] uweze kuweka maoni.

Jiunge na Mtandao huu

Saa 12:24pm Tar. Desemba 10, 2009, sonia johnson amesema…
sonia.4u34@yahoo.com

Hello dear,
Salamu kwenu, jina langu ni Sonia kijana msichana, i view profile yako leo saa www.bongo4ever.ning.com na i love it. i kuamua kuwasiliana na wewe na itakuwa tafadhali yangu kama utakuwa rafiki yangu, i wish kama wewe kujibu sanduku mail yangu ili nitakupa picha yangu na kukuambia zaidi kuhusu nafsi yangu, i matumaini kwa kusikia kutoka kwenu .
Sonia wenu haraka.
-------------------------------------------------------------------------------
Hello dear,
Greetings to you,My name is Sonia a young girl, i view your profile today at www.bongo4ever.ning.com and i love it. i decide to communicate with you and it will please me if you will be my friend, i wish if you will respond to my mail box so that i will give you my picture and tell you more about my self, i hope to hear from you.
soon yours Sonia.
(Email)
sonia.4u34@yahoo.com
Saa 1:40pm Tar. Machi 2, 2009, LKM02 amesema…

.keep it cool.juz dropin hi
Saa 12:05pm Tar. Januari 16, 2009, Father Kidevu amesema…
Shakamooooooooooooooooooooooooo
Saa 2:35pm Tar. Desemba 6, 2008, Enock amesema…
we wa ukweli mi nlikuwa naomba uwe ka dada yangu 2chat privatemy email is enockpeter46@yahoo.com pls nipe email yako kwa masage by my email
Saa 1:33pm Tar. Novemba 21, 2008, B4E amesema…

Mzuka sana.Ujue nini nilikuwa tyt wiki hii harafu net ilikuwa inazingua saana.unaona hii picha juu,ilikuwepo zamani nilikuwa nimedesign 2,kama utaona ipo fresh itumie
 
 

Bongo4Ever-Mapenzi Kwa Nchi Ye2 Hayataishia Leo Tu,Hii Ni Forever.Alika Wabongo Unaowajua.

Yaliyojiri Punde

Masaa 19 yaliyopita
Masaa 19 yaliyopita
felister oswardy and Thomas Cassy are now friends
yesterday
Thomas Cassy added a discussion to the group RafikiChat
yo whats up aany one out there
yesterday

Makundi

 

© 2009   Created by B4E on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!