Bongo4ever [ B4E ]

Chat.Marafiki.Blogs.Muziki.Videos.and Fun [Yaani wewe Tu!]

kizito eliasi
  • Mwanaume
  • harare
  • Zimbabwe
Shea na Wengine 

Marafiki wa Kizito eliasi

Makundi ya kizito eliasi

 

Ukurasa wa kizito eliasi

Gifts Received

Gift

kizito eliasi has not received any gifts yet

Give kizito eliasi a Gift

Yaliyojiri Punde

Desemba11
Desemba10
oooh inakuwaje kamanda namba yenyewe nikipiga mbona haipatikani....?
Desemba8
kizito eliasi joined B4E's group
Tunavalisha.Mitaa.Vyuo.Majiji.Wasanii. pia Madenti,Jichanganye Movement Inaamini Kuwa Mavazi Ya Kibongo Lazima Yatengenezwe Hapa Hapa Bongo Na Ma-deziner Wa Kibongo Ili Yadatishe Wabongo-Jiunge Nasi Upigishwe Pamba Za Ukweli
Desemba8
kizito eliasi added 9 photos to the album 'kiz photos'
Novemba5
no..!she is not
Novemba5
she is now in harare bra....
Novemba5
ur kid?
Oktoba28

Wasifu Wako

Jinsia
kiume
Mahusiano
Nipo Kwenye Mahusiano
Kazi/Cheo/Chuo/Fani
mfanyabiashara
Zaidi Kuhusu mimi
napenda sana maswala ya kuchati na marafiki wa kawaida tu kupitia mitandao kama hivi...
Vi2 Navyopenda Kufanya
kusikiliza muziki kwa ujumla,kuogelea,kwenda disco,kucheza pool table namengineo mengi
Muziki Mi Ninauchukuliaje?
swala la kawaida kwa mtu kama unapendelea..kama hupendelei lazima unacho kitu unachopendelea tofauti na huo muziki
Nimeujuaje Huu Mtandao..
kupitia marafiki waliojiunga mwanzo
Neno 'Jichanganye(JK) Kibongo'-Kwako linamaanisha nini??
jumuika na wenzako kwa kutumia lugha yako

NAPENDA KUJITUMA,KUSHAURIWA NA KUAMUA MWENYEWE...... JICHANGANYE KIMAZIMA--ZIMA........

Picha za kizito eliasi

Inaleta....

Blogu ya Kizito eliasi

kizito eliasi

SCANDEL ZA DALADALA KUMBE KILA MAHALI....

SI MUDA MREFU NILISIKIA KUWA DALADALA BONGO HAZITAKIWI ILA SIKUFAHAMU VIZURI KUWA HAZITAKIWI KUINGIA MJINI AU ZISIONEKANE KABISA..KAMA NDIVYO SIJUI KILIO CHA WENYE NAZO KITAKUWAJE,HAPO S.AFRIKA NAKO FUJO MTINDO MMOJA ETI UKIULIZA NINI DALADALA NAKO HAZITAKIWI KUBEBA ABIRIA WALA KUONEKANA...BADO SIJAJUA ZILITENGENEZWA SPECIAL KWA AJILI YA NINI NA BADO VIWANDANI ZINATENGENEZWA NA KWENYE MA SHOWROOM ZIKO ZA KUMWAGA...

Imetumwa Tar. Machi 26, 2009 saa 12:17pm —

kizito eliasi

SCANDEL ZA DALADALA KUMBE KILA MAHALI....

SI MUDA MREFU NILISIKIA KUWA DALADALA BONGO HAZITAKIWI ILA SIKUFAHAMU VIZURI KUWA HAZITAKIWI KUINGIA MJINI AU ZISIONEKANE KABISA..KAMA NDIVYO SIJUI KILIO CHA WENYE NAZO KITAKUWAJE,HAPO S.AFRIKA NAKO FUJO MTINDO MMOJA ETI UKIULIZA NINI DALADALA NAKO HAZITAKIWI KUBEBA ABIRIA WALA KUONEKANA...BADO SIJAJUA ZILITENGENEZWA SPECIAL KWA AJILI YA NINI NA BADO VIWANDANI ZINATENGENEZWA NA KWENYE MA SHOWROOM ZIKO ZA KUMWAGA...

Imetumwa Tar. Machi 26, 2009 saa 12:00pm —

Ukuta wa Maoni (Maoni 17)

Unahitaji kuwa mwanachama Bongo4ever [ B4E ] uweze kuweka maoni.

Jiunge na Mtandao huu

Saa 12:33am Tar. Desemba 11, 2009, JuLLi£ amesema…
Daaah naona ataa.aiu..i ddnt say thanx 4wishin me happy b'day
asante lakin kakaanguu.sijaingia umu mdaa kama unavyoona
:))
Saa 12:29pm Tar. Desemba 10, 2009, sonia johnson amesema…
sonia.4u34@yahoo.com

Hello dear,
Salamu kwenu, jina langu ni Sonia kijana msichana, i view profile yako leo saa www.bongo4ever.ning.com na i love it. i kuamua kuwasiliana na wewe na itakuwa tafadhali yangu kama utakuwa rafiki yangu, i wish kama wewe kujibu sanduku mail yangu ili nitakupa picha yangu na kukuambia zaidi kuhusu nafsi yangu, i matumaini kwa kusikia kutoka kwenu .
Sonia wenu haraka.
-------------------------------------------------------------------------------
Hello dear,
Greetings to you,My name is Sonia a young girl, i view your profile today at www.bongo4ever.ning.com and i love it. i decide to communicate with you and it will please me if you will be my friend, i wish if you will respond to my mail box so that i will give you my picture and tell you more about my self, i hope to hear from you.
soon yours Sonia.
(Email)
sonia.4u34@yahoo.com
Saa 2:34pm Tar. Julai 21, 2009, B4E amesema…
pamab a sas zinapatika kwa wingi tu ndani ya dar,duka limefunguliwa pande za mwenge.ukihitaji we nijulishe tu
Saa 11:05am Tar. Juni 30, 2009, B4E amesema…
fine bro but i hope u got have them wear as soon as possible
Saa 3:32pm Tar. Juni 26, 2009, LEXALINE amesema…
aina kwere mzaz mi nipo nawakilisha mwanzo mwisho ramani zenyewe za kibishi sana
Saa 4:24pm Tar. Juni 23, 2009, LEXALINE amesema…
oiiiiiiiiiiiii inakuaje mzaz long tym no c'n ishu nigani
Saa 2:30pm Tar. Juni 20, 2009, Jacy amesema…
Nipozz kwa sana!..
pande izi 2 ndo sisomeki kivilee!..
Najezz lkn??
Saa 3:06pm Tar. Juni 19, 2009, B4E amesema…
kwa sasa tupo mkoa Tbr ,ila kuna mwanangu yupo Pande Za Ukonga,sa tumetoa za Hitimisho Squad,KWA AJIRI YA MUZIK VIDEOz,4 Jichanye Strret Videoz Kwa Ajiri ya pROMO,

Batch Nyingine Inatoka Mwezi Wa Tisa Kutokana Zinapendwa sana Vyuo So Tunasubiri First Year Students

Vp upo for long tym?
Saa 4:55pm Tar. Juni 7, 2009, B4E amesema…
hizi pamba za kitaa huko zifike kwa njia ipi!!we unamaoni yap kuhusu kufikisha jichanganye pande hizo ,tupe ideaz bro,
Saa 2:37pm Tar. Mei 19, 2009, B4E amesema…
slow changes are takin place
 
 

Bongo4Ever-Mapenzi Kwa Nchi Ye2 Hayataishia Leo Tu,Hii Ni Forever.Alika Wabongo Unaowajua.

Yaliyojiri Punde

Masaa 20 yaliyopita
Masaa 20 yaliyopita
felister oswardy and Thomas Cassy are now friends
yesterday
Thomas Cassy added a discussion to the group RafikiChat
yo whats up aany one out there
yesterday

Makundi

 

© 2009   Created by B4E on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!