Jichanganye Kibongo-The Urban Story

Marafiki.Mavazi.Mijadala.Mapicha.Video.Makundi Na Maujanja Toka Kitaa.Online Tv

Jichanganye Team
  • 23
  • Tup Dar-Es-Salaam/Dodoma/Tabora/Mwanza
  • Tanzania (Bongo)
Shea na Wengine 

Marafiki wa Jichanganye Team

Mziki

Inaleta....

Makundi ya Jichanganye Team

Mijadala ya Jichanganye Team

hitimisho squad

Loading feed

 

WE KNOW WE CAN

Gifts Received

Gift

Jichanganye Team has not received any gifts yet

Give Jichanganye Team a Gift

Yaliyojiri Punde

inabidi wabongo tukubali mabadiliko
on Sunday
Jichanganye Team added a blog post
Zamani alikuwa sharobaro lakini baada ya Kutoka Na kupata Beat Ya ukweli toka kwa Producer Jazzy Weezy Wa Hitimisho Records,Ambaye pia ni producer we2 ndani ya jichanganye.Ni single yake ya Pili Baada ya "we Mkali" feat Udeude wa sharo baro Amba...
Novemba1
Jichanganye Team ameweka video:
from Hitimisho Recz
Novemba1
Jichanganye Team added a blog post
hii ita kuwa web ye2 dada kwa ajiri ya sistaz wa kibongo tunaomba habari ziwafikie walengwa
Oktoba28
From the Gift Store
Oktoba28
ur kid?
Oktoba28
where is she now
Oktoba28
Adeel Idris and Jichanganye Team are now friends
Oktoba23

Wasifu Wako

Jinsia
kiume
Mahusiano
Nipo Kwenye Mahusiano
Kazi/Cheo/Chuo/Fani
Zaidi Kuhusu mimi
Vi2 Navyopenda Kufanya
1.Computer Graphics Design Music & Advertisement
Muziki Mi Ninauchukuliaje?
1.We Produce
2.We Sell Mixtape
3.We Promote
4.Employ Us
Nimeujuaje Huu Mtandao..
We Are The Founders
Neno 'Jichanganye(JK) Kibongo'-Kwako linamaanisha nini??
Tumia Maujanja Ya Kibongo Kuishi Popota Duniani

Pata Track Za Kijanja kupitia jichanganye.peperonity.com uwe karibu ye2 zaidi

<

Picha za Jichanganye Team

Inaleta....

Ukuta wa Maoni (Maoni 57)

Unahitaji kuwa mwanachama Jichanganye Kibongo-The Urban Story uweze kuweka maoni.

Jiunge na Mtandao huu

Saa 9:37pm Tar. Septemba 19, 2009, charles mgina amesema…
kaka biography yangu si umepata eee poa ka vipi
Saa 10:01pm Tar. Juni 30, 2009, Dinah amesema…
Hey,
Love it . Keep it up!
Hope uko salama kabisa....
Saa 1:09pm Tar. Juni 26, 2009, kizito eliasi amesema…
mwana kidogo ratiba inakaba kiaina fflan siunajua kazi tenaaa..but am sure nipo mpaka kwenye tar 5 next month..so nitajaribu kucheki
Saa 2:48pm Tar. Juni 19, 2009, kizito eliasi amesema…
kama sasa niko hapa DSM naweza kuzipata vipi nikazitangaze kirahisi zaidi....
Saa 3:32am Tar. Juni 17, 2009, charles mgina amesema…
ya hii ndo biography yangu kaka sorry kwa kuchelewa kutuma
jina kamili ni charles mgina la kisanii niite m.k.a.s.h.a.kwa kirefu(mwafrika.kamili.aliye.na sauti .hekima.na Amani)
natokea pande za kimara
nimezaliwa mwaka 87
shule ya msingi nimesoma, umoja primary school
secondary nimesoma loyola high school mabaiboooo
baada ya kumaliza mwaka 2006 nikajiunga na diploma chuo cha cbe dodoma
kwa sasa nipo Malaysia nasomea digrii ya Marketing Management
anyway kuhusu mziki nimeanza zamani sana kuandika toka miaka kumi iliyopita....
na kama ni mziki nishafanya different music so far ka hiphop hardcore crank mdundiko .....
.mziki wangu kawaida nikiandika unalenga kwa jamiii mfano kimenuka imelenga kwa mafisadi.....nimeshafanya collbo na wana kibaooo kuna jtek toka india
kuna philip luhanjooo toka Congo
kuna MasB toka Uk
nimeshafanya klassik music label
nimeshafanya na Big seba toka Mabaibo
nimeshafanya na Cmoney toka Bibo nyimbo nyingi tuuu
na wengine wengi
.nyimbo nazoandika ni jamii ka kuonya kuelimisha kuburudisha kuerekebishana na mapenzi alafu na nyimbo za siasa pia naandika
mtu aliyefanya hadi nitamani kuimba hakuna mwingine zaidi ya NAS toka majuu na niggar Jay kwa sasa ndo profesa jay ....ebwana jamaa mi huwa nasema ni geneous tu wa kutunga yule daaa
kwa kifupi uwa naandika current issues ndo naimba.....kuna nyimbo nyingine nyingi tu utazisikia badae siwezi kutaja zote hapaaa tunaweza tusimalize mazungumzooo
kufafanua zote hapa atutamaliza holla
Saa 5:28pm Tar. Mei 20, 2009, Attitude Scorpio amesema…
Nimekusoma mwana, los blancos mjengoni soon hiyo haina ubishi!
Saa 4:07pm Tar. Aprili 6, 2009, LEXALINE amesema…
yoo man ninakuwaje vipi r chuga harakati ampigi ishu zinaendaje lakin.one love man
Saa 3:10pm Tar. Machi 19, 2009, kizito eliasi amesema…
juu upo bro,so kuhusu mabling hayo vipi kuyapata nje ya bongo..fanya makaratee..
Saa 10:21am Tar. Machi 10, 2009, simon msilama amesema…
mwana hakikatwi ki2 hapa mpango uleule sema nishtue ukipita mkubwa
Saa 10:22am Tar. Machi 4, 2009, simran amesema…
hey thax kwa kuaccept my friendship results god bless u upo juu
 
 

About

Jichanganye Team Jichanganye Team created this social network on Ning.

Create your own social network!

Live Jichanganye Styl,The Styl Of The Realest & Illest ,Established 2002.by The LKM02 HOUZE,We Love Tanzania Our Lovely Land.

Yaliyojiri Punde

stone niambie mwana kudalili ya mimi kuwa mwanamziziki? i jus perfomed bella9's song mbele ya around 300 students....it was really sick mpaka mistari nilikuwa nasahau... nipe maoni yako
Masaa 18 yaliyopita
kas ameweka video:
Sumuya Mapenzi (Poison of Love) Song performed in "Swinburne Cultural Night 2009", an event organized by Swinbune University of Technology (Sarawak... maisha ya school huku MY
Masaa 18 yaliyopita
mistari noma.....real hiphop...big up
Masaa 19 yaliyopita
inabidi wabongo tukubali mabadiliko
on Sunday
kizito eliasi added 9 photos to the album 'kiz photos'
on Thursday
no..!she is not
on Thursday
she is now in harare bra....
on Thursday
akam babako added a discussion
Uchafu kitaani umezidi!..... -Watanzania tufaneje kuondokana na hadha hii... -mauaji ya walemavu wa ngozi yatakwisha lini?
on Thursday
 

© 2009   Created by Jichanganye Team on Ning.   Create Your Own Social Network

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service