wabongo tunazidi kufanya mambo ya ukweli,lakini B4E tunashangaa mbona wana mnaotembelea tovuti za burudani mnaishaia kuangalia tu? muda umefika wabongo tuwe tunatoa hata maoni baada ya kuangalia pini kali kama hizi pia rating zinatakiwa.ili tijue mnataka nini.
Much Luv 2 Pwaa Endelea
Mwekaji: B4E Tar. Desemba 18, 2009 saa 2:30pm —
Hakuna Maoni
\ Stone The Jichanganye Styl Web master got hooked for collabo..just watch and comment
watch it @EATV.Channel 10 & Channel 0..They are just taking bongo to next level,klex belongs to Klexx Music just visit nipehabari 4 more.. Endelea
Mwekaji: B4E Tar. Desemba 3, 2009 saa 11:45am —
Hakuna Maoni
Zamani alikuwa sharobaro lakini baada ya Kutoka Na kupata Beat Ya ukweli toka kwa Producer Jazzy Weezy Wa Hitimisho Records,Ambaye pia ni producer we2 ndani ya jichanganye.Ni single yake ya Pili Baada ya "we Mkali" feat Udeude wa sharo baro Ambayo haikufanya vizuri kitaa.dogo yopo kwenye Endelea
Mwekaji: B4E Tar. Novemba 1, 2009 saa 2:50pm —
Hakuna Maoni
Harakati kitaani ni project anayohusu mapicha ya kitaani katika levo za juu za Computer Graphics,huu mpango mzima tunaweza kuuita "Bongo Rap Wallpapers" tunapenda mtoe maoni,Feel Free & jichanganye!!!!
Artist:Budda Monk Lebo:Mashadaville/Crunk Boyz Ngoma:I Love U Feat Cash Bunna ,Sikiliza Ngoma zake K… Endelea
Mwekaji: B4E Tar. Septemba 15, 2009 saa 1:42am —
Hakuna Maoni
SI MUDA MREFU NILISIKIA KUWA DALADALA BONGO HAZITAKIWI ILA SIKUFAHAMU VIZURI KUWA HAZITAKIWI KUINGIA MJINI AU ZISIONEKANE KABISA..KAMA NDIVYO SIJUI KILIO CHA WENYE NAZO KITAKUWAJE,HAPO S.AFRIKA NAKO FUJO MTINDO MMOJA ETI UKIULIZA NINI DALADALA NAKO HAZITAKIWI KUBEBA ABIRIA WALA KUONEKANA...BADO SIJAJUA ZILITENGENEZWA SPECIAL KWA AJILI YA NINI NA BADO VIWANDANI ZINATENGENEZWA NA KWENYE MA SHOWROOM ZIKO ZA KUMWAGA... Endelea
Mwekaji: kizito eliasi Tar. Machi 26, 2009 saa 12:17pm —
Hakuna Maoni
SI MUDA MREFU NILISIKIA KUWA DALADALA BONGO HAZITAKIWI ILA SIKUFAHAMU VIZURI KUWA HAZITAKIWI KUINGIA MJINI AU ZISIONEKANE KABISA..KAMA NDIVYO SIJUI KILIO CHA WENYE NAZO KITAKUWAJE,HAPO S.AFRIKA NAKO FUJO MTINDO MMOJA ETI UKIULIZA NINI DALADALA NAKO HAZITAKIWI KUBEBA ABIRIA WALA KUONEKANA...BADO SIJAJUA ZILITENGENEZWA SPECIAL KWA AJILI YA NINI NA BADO VIWANDANI ZINATENGENEZWA NA KWENYE MA SHOWROOM ZIKO ZA KUMWAGA... Endelea
Mwekaji: kizito eliasi Tar. Machi 26, 2009 saa 12:00pm —
Hakuna Maoni
,Mambo vipi washikaji ,na wadau wakubwa wa jichanganye.katika kupitia mtandao kwa kina tumegundua wengi wenu mnaishia kusoma vilivyoandikwa na kuondoka ,hamtoi maoni,hamualiki washikaji wapya,hamuweki masongi,hamshiriki mijadala,yaaani kwa ufupi wengi wenu hamjajua jinsi ya kujichanganya.basi kama hayo yote haujawahi kuyafanya anza kuyafanya ili ujichanganye kiukweli .au siyo bwana ,team nzima ya The LKMO2 HOUZE ipo busy deile kuhakikisha mambo yanakuwa kama yalivyopangwa.tunaomba ushirikiano wa… Endelea
Mwekaji: LKM02 Tar. Machi 2, 2009 saa 1:00pm —
Oni Moja1