Bongo4ever [ B4E ]

Chat.Marafiki.Blogs.Muziki.Videos.and Fun [Yaani wewe Tu!]

,Mambo vipi washikaji ,na wadau wakubwa wa jichanganye.katika kupitia mtandao kwa kina tumegundua wengi wenu mnaishia kusoma vilivyoandikwa na kuondoka ,hamtoi maoni,hamualiki washikaji wapya,hamuweki masongi,hamshiriki mijadala,yaaani kwa ufupi wengi wenu hamjajua jinsi ya kujichanganya.basi kama hayo yote haujawahi kuyafanya anza kuyafanya ili ujichanganye kiukweli .au siyo bwana ,team nzima ya The LKMO2 HOUZE ipo busy deile kuhakikisha mambo yanakuwa kama yalivyopangwa.tunaomba ushirikiano wako japo kwa kwa kuandika ka stori hata kamoja kutoka mtaaani kwako ,au kokote ambako ungependa wabongo wajue kila unapo ingia online ,ili tuwakilishw hisia zetu si unajua tena jichanganye inapatikana dunia nzima.sikieni kengele .amkeni wabongo enyesheni basi hizo talent au maujanja mlionayo ili watu wajue kama wabongo tupo vipi.much luv 2 all active memberz of Jichanganye Kibongo...wataondoka watarudi sisi tupo na tunaendelea ku-supply maujanja..God Bless Jichanganye Stylz,God Bless Tanzania and Africa @ Large.tupo kijanja zaidi

Shea na Wengine 

Weka Maoni

Wanachama wa Bongo4ever [ B4E ] tu ndio wanaweza kuweka maoni!

Jiunge na Mtandao huu

simran Maoni ya simran Tar. Machi 4, 2009 saa 10:15am
mtandao ni mzuri sana unafurahisha i like it very much big up lkmO2 upo juu congrats

Bongo4Ever-Mapenzi Kwa Nchi Ye2 Hayataishia Leo Tu,Hii Ni Forever.Alika Wabongo Unaowajua.

Yaliyojiri Punde

Masaa 23 yaliyopita
Masaa 23 yaliyopita
felister oswardy and Thomas Cassy are now friends
yesterday
Thomas Cassy added a discussion to the group RafikiChat
yo whats up aany one out there
yesterday

Makundi

© 2009   Created by B4E on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!