Bongo4ever [ B4E ]

Chat.Marafiki.Blogs.Muziki.Videos.and Fun [Yaani wewe Tu!]

msanii stone.ametoa song Spesho kwa obama ambalo litakuwa katika album yake ya victory Granted..zaidi amesema wimbo huo utaonesha ni jinsi gani ulivyo tyt..mtembelee kwenye myspace.com/bystone ambapo ndo sehemu ya kwanza pini litasikika kisha litasikika ndani ya jichanganye kibongo pia jamaa yupo bize kurekebisha mambo ili aachie song yake mpya inayoitwa Street thing.ikifuatiwa na video...kaaatayari kwa mambo hayo

Shea na Wengine 

Weka Maoni

Wanachama wa Bongo4ever [ B4E ] tu ndio wanaweza kuweka maoni!

Jiunge na Mtandao huu

hassani Maoni ya hassani Tar. Novemba 8, 2008 saa 5:16pm
Ni uzushi tu unaotuletea obama wewe unamjua mwenzio mimi namjua ni mjomba wangu

Bongo4Ever-Mapenzi Kwa Nchi Ye2 Hayataishia Leo Tu,Hii Ni Forever.Alika Wabongo Unaowajua.

Yaliyojiri Punde

Masaa 19 yaliyopita
Masaa 19 yaliyopita
felister oswardy and Thomas Cassy are now friends
yesterday
Thomas Cassy added a discussion to the group RafikiChat
yo whats up aany one out there
yesterday

Makundi

© 2009   Created by B4E on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!