Bongo4ever [ B4E ]

Chat.Marafiki.Blogs.Muziki.Videos.and Fun [Yaani wewe Tu!]

Maoni ya LEXALINE

Ukuta wa Maoni (Maoni 29)

Unahitaji kuwa mwanachama Bongo4ever [ B4E ] uweze kuweka maoni.

Jiunge na Mtandao huu

Saa 12:52pm Tar. Desemba 10, 2009, sonia johnson amesema…
sonia.4u34@yahoo.com

Hello dear,
Salamu kwenu, jina langu ni Sonia kijana msichana, i view profile yako leo saa www.bongo4ever.ning.com na i love it. i kuamua kuwasiliana na wewe na itakuwa tafadhali yangu kama utakuwa rafiki yangu, i wish kama wewe kujibu sanduku mail yangu ili nitakupa picha yangu na kukuambia zaidi kuhusu nafsi yangu, i matumaini kwa kusikia kutoka kwenu .
Sonia wenu haraka.
-------------------------------------------------------------------------------
Hello dear,
Greetings to you,My name is Sonia a young girl, i view your profile today at www.bongo4ever.ning.com and i love it. i decide to communicate with you and it will please me if you will be my friend, i wish if you will respond to my mail box so that i will give you my picture and tell you more about my self, i hope to hear from you.
soon yours Sonia.
(Email)
sonia.4u34@yahoo.com
At 4:30pm on Oktoba 22, 2009, B4E gave LEXALINE a gift
kula 5 mwnajeshi wangu wiki hii naenda mkoa
From the Gift Store
Saa 1:09pm Tar. Oktoba 19, 2009, kizito eliasi amesema…
niambie m2 mzima...
Saa 10:03pm Tar. Juni 30, 2009, Dinah amesema…
Hiya!
Yeah mambo yalibana kimtindo, kazi nyingi.
Asante kwa ujumbe, kuwa na siku njema.
Saa 1:16pm Tar. Juni 26, 2009, kizito eliasi amesema…
nigan mkubwa...!!cjaadimika kivile kaka,vp mishe zinasongaje mtu mzima
Saa 1:33pm Tar. Aprili 29, 2009, kizito eliasi amesema…
haina kwere mkubwa vipi R chuga wanabongaje.....
Saa 8:40am Tar. Machi 11, 2009, Jacy amesema…
Haha! Yeah nakusoma kila konaazZ..
Afu ndo huonekani mazima..au ndo ushaingia undercova??
Micn yo kivile chalangu!
Much luuv!
Saa 6:52pm Tar. Machi 9, 2009, Jacy amesema…
Yeyo!
Uko pande zote!! Nomaaz!!
Much luuv chalangu!
Saa 4:49pm Tar. Machi 2, 2009, B4E amesema…
sana 2 baaab.do it.kama vipi ni2mie tena zile song zako.ila ziwe mp3.huku haziplay nashindwa kuelewa ni kwa nini
Saa 1:28pm Tar. Machi 2, 2009, LKM02 amesema…
we doppin daily..niaje mkuuu ..kama kawa bado tuna shwanganisha kama kawaida,mpaka kieleweke ebeana eee,nahitaji masweta flani ya kusuka ya rasta color huko arusha yanapatikana sana..mikono mirefu na nmifupi ni bei gani huko nataka kuyannunua..kwa ajiri ya ku shoot video..much luv m2 wangu..kuanzia j5 nitakuwa na jazzy weeezy kuanza project upya
Saa 7:26pm Tar. Februari 15, 2009, Jazzy Weezy amesema…
NIAJE LEX. WEEZY HAPA. KAVP MKAZU MWINGI MI NAINGIA KITAA RASMI J5. HARAKATI ZTAZO FUATA ZTAKUA BAAB KUBWA.
Saa 1:20pm Tar. Februari 11, 2009, Dinah amesema…
Au sio? Maisha ni kuhangaika au kujiahangaisha? (chagua sahihi).
Natumaini uko swafi na unaendelea vema na mihangaiko ya maisha. Midaz...
Saa 12:13pm Tar. Januari 29, 2009, M.e. Wilfred amesema…
Mambo safi. Maisha Vipi?
Saa 5:38pm Tar. Januari 28, 2009, Dinah amesema…
Same 2 u bro. Mwaka huu umeanza na shughuli nyiingi sana, yaani i've bn busy mpaka najishangaa....nimezoea kuwa busy miezi ya 3-5 sio january.
Asante sana, na nitakuona baadae...
Saa 9:17am Tar. Desemba 30, 2008, Jazzy Weezy amesema…
sema lex. 2popa1 mwana.
Saa 1:48pm Tar. Oktoba 22, 2008, Jazzy Weezy amesema…
mwano ni mkazu nipo dsm pande za mabibo nasababababisha harakati... kina chindo na watengwa vp? mnamawasliano?
mi niwanagu sana2, kuna pini flan niliwa2mia beats wafanye ipo ktk process,soon itaingia jk.
Saa 3:38pm Tar. Oktoba 21, 2008, kas amesema…
thanx sana man..mademu nilisha achana nao...
Saa 5:57pm Tar. Oktoba 16, 2008, Jazzy Weezy amesema…
yeah man, 2popa1. upo acity pane za wapi?
Saa 2:41pm Tar. Oktoba 13, 2008, B4E amesema…

Album Yangu Ninayo ifanyia kzi
Saa 4:17pm Tar. Oktoba 8, 2008, B4E amesema…

HEBU CHEKI HII

Bongo4Ever-Mapenzi Kwa Nchi Ye2 Hayataishia Leo Tu,Hii Ni Forever.Alika Wabongo Unaowajua.

Yaliyojiri Punde

Masaa 23 yaliyopita
Masaa 23 yaliyopita
felister oswardy and Thomas Cassy are now friends
yesterday
Thomas Cassy added a discussion to the group RafikiChat
yo whats up aany one out there
yesterday

Makundi

© 2009   Created by B4E on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!