Bongo4ever [ B4E ]

Chat.Marafiki.Blogs.Muziki.Videos.and Fun [Yaani wewe Tu!]

Maoni ya B4E

Ukuta wa Maoni (Maoni 58)

Unahitaji kuwa mwanachama Bongo4ever [ B4E ] uweze kuweka maoni.

Jiunge na Mtandao huu

Saa 1:19pm Tar. Desemba 10, 2009, sonia johnson amesema…
sonia.4u34@yahoo.com

Hello dear,
Salamu kwenu, jina langu ni Sonia kijana msichana, i view profile yako leo saa www.bongo4ever.ning.com na i love it. i kuamua kuwasiliana na wewe na itakuwa tafadhali yangu kama utakuwa rafiki yangu, i wish kama wewe kujibu sanduku mail yangu ili nitakupa picha yangu na kukuambia zaidi kuhusu nafsi yangu, i matumaini kwa kusikia kutoka kwenu .
Sonia wenu haraka.
-------------------------------------------------------------------------------
Hello dear,
Greetings to you,My name is Sonia a young girl, i view your profile today at www.bongo4ever.ning.com and i love it. i decide to communicate with you and it will please me if you will be my friend, i wish if you will respond to my mail box so that i will give you my picture and tell you more about my self, i hope to hear from you.
soon yours Sonia.
(Email)
sonia.4u34@yahoo.com
Saa 9:37pm Tar. Septemba 19, 2009, charles mgina amesema…
kaka biography yangu si umepata eee poa ka vipi
Saa 10:01pm Tar. Juni 30, 2009, Dinah amesema…
Hey,
Love it . Keep it up!
Hope uko salama kabisa....
Saa 1:09pm Tar. Juni 26, 2009, kizito eliasi amesema…
mwana kidogo ratiba inakaba kiaina fflan siunajua kazi tenaaa..but am sure nipo mpaka kwenye tar 5 next month..so nitajaribu kucheki
Saa 2:48pm Tar. Juni 19, 2009, kizito eliasi amesema…
kama sasa niko hapa DSM naweza kuzipata vipi nikazitangaze kirahisi zaidi....
Saa 3:32am Tar. Juni 17, 2009, charles mgina amesema…
ya hii ndo biography yangu kaka sorry kwa kuchelewa kutuma
jina kamili ni charles mgina la kisanii niite m.k.a.s.h.a.kwa kirefu(mwafrika.kamili.aliye.na sauti .hekima.na Amani)
natokea pande za kimara
nimezaliwa mwaka 87
shule ya msingi nimesoma, umoja primary school
secondary nimesoma loyola high school mabaiboooo
baada ya kumaliza mwaka 2006 nikajiunga na diploma chuo cha cbe dodoma
kwa sasa nipo Malaysia nasomea digrii ya Marketing Management
anyway kuhusu mziki nimeanza zamani sana kuandika toka miaka kumi iliyopita....
na kama ni mziki nishafanya different music so far ka hiphop hardcore crank mdundiko .....
.mziki wangu kawaida nikiandika unalenga kwa jamiii mfano kimenuka imelenga kwa mafisadi.....nimeshafanya collbo na wana kibaooo kuna jtek toka india
kuna philip luhanjooo toka Congo
kuna MasB toka Uk
nimeshafanya klassik music label
nimeshafanya na Big seba toka Mabaibo
nimeshafanya na Cmoney toka Bibo nyimbo nyingi tuuu
na wengine wengi
.nyimbo nazoandika ni jamii ka kuonya kuelimisha kuburudisha kuerekebishana na mapenzi alafu na nyimbo za siasa pia naandika
mtu aliyefanya hadi nitamani kuimba hakuna mwingine zaidi ya NAS toka majuu na niggar Jay kwa sasa ndo profesa jay ....ebwana jamaa mi huwa nasema ni geneous tu wa kutunga yule daaa
kwa kifupi uwa naandika current issues ndo naimba.....kuna nyimbo nyingine nyingi tu utazisikia badae siwezi kutaja zote hapaaa tunaweza tusimalize mazungumzooo
kufafanua zote hapa atutamaliza holla
Saa 5:28pm Tar. Mei 20, 2009, Attitude Scorpio amesema…
Nimekusoma mwana, los blancos mjengoni soon hiyo haina ubishi!
Saa 4:07pm Tar. Aprili 6, 2009, LEXALINE amesema…
yoo man ninakuwaje vipi r chuga harakati ampigi ishu zinaendaje lakin.one love man
Saa 3:10pm Tar. Machi 19, 2009, kizito eliasi amesema…
juu upo bro,so kuhusu mabling hayo vipi kuyapata nje ya bongo..fanya makaratee..
Saa 10:21am Tar. Machi 10, 2009, simon msilama amesema…
mwana hakikatwi ki2 hapa mpango uleule sema nishtue ukipita mkubwa
Saa 10:22am Tar. Machi 4, 2009, simran amesema…
hey thax kwa kuaccept my friendship results god bless u upo juu
Saa 1:27pm Tar. Februari 11, 2009, Dinah amesema…
Nimependa hii Valentine's Special thing, inavutia sana, Mimi siamini ktk siku hiyo but since nimeona how u did it! Inanifanya nijichanganye kivalentino. Alafu hiyo ku-share story ni bomba.....u r so creative Mdogo wangu.

Sasa weka some of ur track eastafrican tube ili watu wengi zaidi wakusikie (nakurusha kwenye my program BongoRadio.com).
Missing ya big time bro!
Saa 2:56pm Tar. Februari 4, 2009, Bwana Mushi amesema…
Hisapepe.com is not about buying shares, ni unajiunga na kisha unapewa shea ya pesa zitakazopatikana katika matangazo yatakayotumwa katika email yako, ni win win yani wewe unapata tangazo kisha unalipwa sehemu ya ile pesa ya hilo tangazo mnashea wote wewe hisapepe na aliyeliclick
aminia
Saa 4:57pm Tar. Januari 29, 2009, kizito eliasi amesema…
hizo graphixxx kaka si mchezo kama unyamwezini vile....
Saa 5:43pm Tar. Januari 28, 2009, Dinah amesema…
Au sio?
Naona unazidi kufanya mambo makubwa, safi sana bro. Endelea na kazi nzuri na mimi nipo nyuma yako, ukijikwaa tu nakudaka...u wont touch the ground....keep it up!

Missing ya big tyme, when I'm less busy (in few weeks) nitakuona...
Saa 11:44am Tar. Januari 5, 2009, Jazzy Weezy amesema…
man check out www.klassikmuzik.tk then u tell me how to modifie it. ok hommy, hav a gud tym out there. hop u doin lots of tracks in tbr....
Saa 9:17am Tar. Desemba 30, 2008, LEXALINE amesema…
Saa 11:09am Tar. Desemba 23, 2008, ralph amesema…
asante bro. mambo vipi
Saa 3:09pm Tar. Desemba 4, 2008, Bwana Mushi amesema…
Aisee Ukimya sana. Niambie Inakuaje!
Saa 2:09pm Tar. Novemba 4, 2008, hassani amesema…
Nilipita kukucheki

Bongo4Ever-Mapenzi Kwa Nchi Ye2 Hayataishia Leo Tu,Hii Ni Forever.Alika Wabongo Unaowajua.

Yaliyojiri Punde

Masaa 21 yaliyopita
Masaa 21 yaliyopita
felister oswardy and Thomas Cassy are now friends
yesterday
Thomas Cassy added a discussion to the group RafikiChat
yo whats up aany one out there
yesterday

Makundi

© 2009   Created by B4E on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Taarifu Jambo  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!